English VideosHabariK24 TvSwahiliVideos

Rais kukutana na viongozi kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya

Viongozi wa chama cha ODM kutoka eneo kuu la Magharibi mwa Kenya pamoja na baadhi ya wajumbe wanaosemekana kuwa waasi katika vyama vingine lakini wanaounga mkono sera za kinara wa upinzani Raila Odinga wanatarajiwa kukutana na Rais Uhuru Kenyatta juma lijalo kusaka mwelekeo wa mustakabali wa eneo hilo kisiasa na kimaendeleo.

Show More

Related Articles