HabariMilele FmSwahili

Gideon Konchella apoteza kiti chake cha ubunge eneo la Kilgoris

Gideon Konchella amepoteza kiti chake cha ubunge eneo la Kilgoris. Ni baad ya mahakma kuridhia kwamba kulikwua na dosari katika uchaguzi wa mwaka jana. Kesi ya kupinga ushinid wake iliwasilishwa na aliyekuwa mpinzani wake Julius Sunkuli alidai. Wenyeji wa eneo hilo sasa wanatarajiwa kurejea katika debe kumchagua mbunge wao.

Show More

Related Articles