HabariMilele FmSwahili

Kalonzo na Wetangula wakubaliana kudumisha umoja wa NASA

Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula wamekutana na kushauriana leo kuhusiana na masuala tofauti ikiwemo umoja wa muungano wa NASA. Kalonzo anasema wamekubaliana kuendelea kushirikiana chini ya muungano huo licha ya misimamo tofauti. Mkao baina ya wawili hawa umekujia baada ya Kalozno kusema ataongoza mkao wa mapatano baina ya kinara wa ODM Raila Odinga na Wetangula ambaye alinukuliwa akisema amevunja uhusiano wake na NASA

Show More

Related Articles