HabariPilipili FmPilipili FM News

Balala Aomba Msamaha Kuhusiana Na Matamshi Yake.

Waziri wa utalii Najib Balala amefika mbele ya kamati ya mazingira bungeni kuhojiwa kuhusiana na kufariki kwa vifaru 11.

Mbele ya kamati hiyo Balala ameomba msamaha kutokana matamshi yake aliyoyatoa hapa mjini Mombasa kujibu shinikizo la kutakiwa kujiuzulu.

viongozi mbali mbali na hata wananchi walikashifu vikali matamshi hayo.

Show More

Related Articles