HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi wa Josnah Ruai washiriki uchaguzi wa viranja wao

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Josnah huko Ruai walifanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wa shule hiyo huku ukisimamiwa na tume ya uchaguzi IEBC katika hatua ya kuimarisha demokrasia shuleni.
Uchaguzi wao umefananishwa pakubwa na uchaguzi mkuu ambao unafanywa baada ya miaka mitano nchini.

Show More

Related Articles