HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maangamizi ya Magadi: Mmomonyoko wa udongo Suswa-Narok watishia uwepo wa Ziwa Magadi

Wenyeji wa eneo la Suswa katika kaunti ya Narok, wanahofia kupoteza mashamba yao kila kunaponyesha, kwani mmomonyoko wa udongo umepelekea baadhi yao kupoteza zaidi ya nusu ya mashamba yao wakati mvua ya masika iliponyesha mapema mwaka huu.
Hali hiyo imepekelea Ziwa Magadi kuwa katika hatari ya kuangamia kwani mchanga huo unaishia katika ziwa hilo.
Katika makala ya “Maangamizi ya Magadi” Dan Kaburu anaangazia matukio hayo ambayo yameathiri mamia ya watu katika kaunti ya Narok na ile ya Kajiado.

Show More

Related Articles