HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mfanyikazi wa Chandarana aliyeandika ujumbe ulioshtumiwa achukuliwa hatua

Wasimamizi wa maduka ya jumla ya Chandarana wameanza shughuli ya kumchukulia hatua mfanyikazi wake ambaye aliwaandikia wafanyikazi wenzake barua kuashiria kuwa maduka hayo yalikuwa yanawapendelea wateja wazungu.
Hata hivyo wasimamizi hao wamekaidi agizo la kuyafunga maduka yao baada ya Gavana wa  Narobi Mike Sonko kutangaza kuwa amefutilia mbali leseni za kuhudumu za maduka hayo.

Show More

Related Articles