HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tapeli afikishwa mahakamani kwa kudai kuifanyia kazi K24

Polisi mjini Eldoret wanamzuilia mwanamume mmoja ambaye amekuwa akiwatapeli raia kwa kisingizio kwamba angewasaidia kupata ajira runinga ya k24.

Alex Mwaita alifikishwa mbele ya hakimu mkuu wa Eldoret Charles Obulutsa ambapo alikiri shtaka la ulaghai kabla ya kuwekwa rumande akisubiri uamuzi wa kesi hiyo ijumaa.

Show More

Related Articles