HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Waziri wa utalii asema hatajiuzulu kutokana na vifo vya vifaru

Waziri wa Utalii Najib Balala amesema hatong’atuka afisini kuhusiana na kufariki kwa vifaru 10 kati ya 11 waliohamishwa kutoka mbuga ya Nairobi na Nakuru hadi ile ya Tsavo Mashariki.

Hii ni kufuatia shinikizo kutoka kwa umma na baadhi ya viongozi wanaodai kuwa waziri huyo anafaa kuwajibikia majukumu yake kwa kutohakikisha maisha ya vifaru hao hayakuwa hatarini.

Show More

Related Articles