HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tume ya ERC yapunguza ada za kulipia umeme

Ni afueni kwa wakenya na wamiliki wa kampuni zinazotegemea pakubwa nguvu za umeme kuendesha shughuli za kila siku baada ya tume ya kuratibu matumizi ya kawi nchini ERC kupunguza ada za kulipia umeme.

Tume hiyo imefutilia mbali ada ya shilingi 150 ambayo ilikuwa inatozwa kwa lazima kwa “kimombo fixed charge” hatua itakayohakikisha mteja anapata umeme kwa bei ya chini ikilinganishwa na hapo awali.

Show More

Related Articles