HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wagonjwa zaidi ya mmoja wanalazimika kulala kitanda kimoja, Kiambu level 5

Hospitali ya Kiambu level 5 imegonga vichwa vya habari katika juma moja lililopita baada ya madai kwamba wagonjwa zaidi ya mmoja wamekuwa wakilazwa katika kitanda kimoja hospitalini humo na hata wengine kukosa chakula.

K24 imebaini baadhi ya madai haya huku usimamizi wa hospitali hiyo ukijitetea na kudai kwamba hali hiyo inachangiwa na idadi kubwa ya wagonjwa wanaofika kutafuta matibabu kila siku.

Show More

Related Articles