HabariK24 TvNEWSSwahiliVideos

Afueni kwa waathiriwa wa Saratani kwa miaka minane ya Kituo cha Texas

Saratani

Ugonjwa wa Saratani unazidi kuwa changamoto kuu kwa taifa la Kenya hususan kwa aupande wa matibabu ambayo yamekuwa ghali mno.

Wakenya wanalazimika kupata matibabu katika mataifa ya kigeni lakini wanaporudi nchini wengi husishia kupoteza maisha yao.

Mwanahabari wetu Lenox Sengre alizuru hospitali ya Texas Cancer centre na kutuandalia  taarifa kuhusu jinsi wagonjwa wengi wanavyozidi kuwa na matumaini.

 

Show More

Related Articles