HabariK24 TvNEWSSwahiliVideos

Wenyeji wajiandaa kwa msimu wa tohara, Trans Nzoia

Tohara

Msimu wa tohara unabisha hodi katika eneo la Magharibi. Ngariba na vijana wanajiandaa katika hafla inayoenziwa mno na jamii ya Abaluhya.

Katika eneo la Trans Nzoia, maandalizi kabambe yanaendelea kwa shughuli hiyo inayotarajiwa kuanza wiki ijayo kama anavyotupasha George Njoroge kutoka Trans Nzoia.

 

Show More

Related Articles