HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wamiliki ardhi tata Embakasi wadai ulaghai unaendelea licha ya agizo la Rais

Ni wazi kuwa hata baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuzuru maeneo ya Eastlands hapa jijini Nairobi na kutoa makataa kwa usimamizi wa kampuni ya Embakasi Ranch kusuluhisha zogo la ardhi hiyo, inaonekana wanyonge hawatapata haki jinsi mambo yanavyokwenda katika juhudi za kutafuta umiliki wa ardhi hiyo.

Show More

Related Articles