HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Jamii ya Maasai yatoa makataa ya siku 14 walowezi kufurushwa 

Viongozi kutoka jamii ya Maasai wametoa makataa ya siku 14 kwa walowezi wa Mau kuondoka la sivyo watachukua hatua ambayo hawajabainisha.
Wakizungumza katika eneo la Nkareta pembezoni mwa msitu wa Mau, viongozi hawa wamesema hawatasubiri tena kuona walowezi wakishikilia misimamo mikali ilhali madhara yake ni bayana kwa taifa zima.

Show More

Related Articles