HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Wanafunzi watengeneza mifuko kwa kutumia unga wa mihogo

Baada ya matumizi ya mifuko ya plastiki kupigwa marufuku hapa nchini mwaka jana, wanafunzi wawili wameweza kuzindua jinsi ya kutengeneza mifuko mbadala huku wakitumia unga wa mihogo.

Wanafunzi hao wanaeleza kuwa mifuko hii mbadala  itasaidia sana kuhifadhi mazingira na pia itafaidi wananchi kutokana  na bei yake iliyo rahisi.

Kimani Githuku alijiunga nao na kutuandalia taarifa hii kwenye makala ya Ari na Ukakamavu.

Show More

Related Articles