HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Tatizo la maji taka lililowahangaisha wenyeji Kariobangi laanza kutatuliwa

Baada ya runinga ya K24 kuangazia masaibu ya wakaazi wa eneo la Kariobangi North kutokana na kero ya maji taka hiyo jana, leo wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti ikishirikiana na kampuni ya Nairobi Water kuzuru eneo hilo na kuanza kurekebisha bomba lililopasuka.

Majumba kadhaa yatabomolewa kwa kusababisha bomba hilo kupasuka kwa kuwa yamejengwa juu yake.

Show More

Related Articles