HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tofauti baina ya ODM na Ford Kenya zazidi kushuhudiwa 

Naibu kiranja wa waliowachache kwenye bunge la kitaifa, mbunge wa Kiminini kwa tiketi ya chama cha Ford Kenya Chris Wamalwa amesisitiza kuwa chama cha Ford kingali na kitasalia kuwa ndani ya NASA hadi mwaka 2022.
Matamshi yake yanawadia wakati kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amejitokeza na kuutetea muungano wa NASA kwa kusema kuwa NASA ingali imara.

Show More

Related Articles