HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Maelfu ya wakaazi Kariobangi North waathiriwa na maji taka

Wakaazi wa mtaa wa Kariobangi North sasa wanahofia mkurupuko wa maradhi ya kipindu pindu baada ya bomba la maji taka kupasuka na kusambaa katika makaazi yao na maeneo ya biashara.
Wakaazi hao sasa wamelazimika kuwahamisha wanao hadi kwa marafiki zao wanaoishi mbali, kuepuka hatari.

Show More

Related Articles