HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Mkaazi wa Mombasa asiyeona anayewapa motisha walemavu 

Watu wengi wanaoishi na matatizo mbalimbali ya ulemavu hupitia changamoto si haba haswa wanapokuwa wanajaribu kupambana na shughuli za kutafuta riziki, kwenye ulimwengu uliojaa changamoto.

Lakini kwenye makala ya wasiotambulika wiki hii, Dennis Matara ametuandalia taarifa ya Jonah Mutiso jamaa kipofu kutoka Mombasa ambaye licha ya changamoto za kuishi gizani anatumia kipawa chake cha kuimba na kuiga sauti za watu mashuhuri kuwarai walemavu wenzake kujitokeza kujisimamia huku akitumia nyimbo zake kueneza ujumbe wa haki kwa walemavu.

Show More

Related Articles