HabariMilele FmSwahili

Vifaru 10 wafariki kati ya 11 waliohamishiwa katika mbuga ya Tsavo Mashariki

Vifaru kumi wamefariki kufikia tangu kuhamishiwa mbuga ya Tsavo Mashariki. Ni baada ya kifo cha kifaru mmoja huku kifaru aliyesalia akijeruhiwa baada ya kuvamiwa na simba. Haya yanajiri huku maafisa kadhaa wa KWS wakidaiwa kusimaishwa kufuatia oparesheni ya kuhamisha vifaru hao. Maafisa hao ni pamoja na Dr. Kasike, Dr. Francis Gakuya, waliosimaimia oparesheni huyo Dr. Isaac Lekorel, Felix Mwangangi, Dr.Mohammed Omar, na Fredrick Orara. Kwa sasa ni kifaru moja pekee amesalia katika mbuga hiyo.

Show More

Related Articles