HabariMilele FmSwahili

Mahakama yadumisha marufuku dhidi ya uvutaji wa shisha

Marufuku dhidi ya uvutaji shisha itaendlea kutekelezwa. Hii ni kufiaata amri ya mahakama ambayo imeridhia agizo la serikali kwamba hakuna yeyote atakayeruhusiwa kutengeneza, kuuza, kutumia, kutangaza, kusambaza ama kuleta shisha humu nchini. Akitoa uamuzi kwenye kesi iliyowasilishwa na wafanyibiashara wa shisha nchini kutakak ubatilishwa agizo hilo, jaji rosylene aburili amesema kutokana na athari za uvutaji shisha maisha yawakenya ni muhimu kushnda biashara hiyo.

Show More

Related Articles