HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Uhaba wa noti za Shilingi 50 nchini unatatiza Wakenya wa kawaida  

Miezi miwili iliyopita, banki kuu ya Kenya ilitangaza kusambaza noti mpya za shilingi hamsini ili kukabiliana na uhaba wa noti hizo ambao umeathiri pakubwa biashara ndogo ndogo.
Hata hivyo, inaonenaka noti hizo bado hazijafika mikononi mwa wakenya wa kawaida huku uhaba huo ukizidi kuathiri shughuli nyingi na kutatiza biashara ndogo.
Ahmed Juma Bhalo alizuru maeneo tofauti ya jiji la Nairobi na kuzungumza na wafanyibiashara mbali mbali wote ombi lao likiwa ‘banki kuu ifanye hima na kusambaza noti zaidi.

Show More

Related Articles