HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sossion: Mgomo upo kuanzia Septemba 1 TSC isipomakinika

Muungano wa walimu nchini KNUT , umeshikilia msimamo kwamba walimu wataanza mgomo Septemba mosi iwapo tume ya kuwaajiri walimu TSC  haitabatilisha sheria wanazodai zinawakandamiza walimu, ukiwemo uhamisho wao.
Hayo yanajiri huku washika dau katika sekta ya elimu wakipaniwa kuandaa kikao wakati wa likizo ya  mwezi Agosti kutathmini sababu ya mikasa ya moto shuleni.

Show More

Related Articles