HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Watu 40,000 zaidi kufurushwa msituni MAU hivi punde 

Zaidi ya walowezi elfu 40 wataondolewa kutoka msitu wa Mau, katika awamu ya pili ya kuwafurusha maskwota kutoka msitu huo, ambayo itaanza hivi punde.

Hayo yametangazwa na kamishna wa kaunti ya Narok George Natembeya huku kwa jumla watu elfu 50 wakitarajiwa kufurushwa.

Hayo yakijiri, wakimbizi elfu 3 wwaliofurishwa majuzi kutoka msitu wa Mau sasa wanakodolea macho janga la utapia mlo na maradhi yanayotokana na baridi.

Show More

Related Articles