HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Arthi tata ya Ruaraka: Swazuri adai ardhi hiyo ni mali ya kibinafsi na kusuta wanahabari 

Mzozo unaoonekana kuigonganisha serikali ya Jubilee kuhusu ardhi ya Ruaraka umezidi kutokota.
Hii ni baada ya mwenyekiti wa tume ya kitaifa kuhusu ardhi Dakta Mohammed Swazuri kusisitiza kwamba ardhi hiyo ni ya kibinafsi.
Swazuri anasema utaratibu wa kulipia shamba hilo kima cha hadi shilingi bilion moja nukta tano za utangulizi ulichochewa na kuwa hamna mtu aliyejitokeza kusema ardhi hiyo ilikuwa yake na kuwa wanatume watafanya na wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria.
Haya ni kinyume na alivyosema Waziri wa Elimu Amina Mohammed pamoja na Gavana wa Nairobi Mike Sonko waliodokeza kuwa ardhi hiyo ya Ruaraka ni mali ya umma.

Show More

Related Articles