HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Afueni kwa shule ya Jehovah Jire iliyo na uhaba wa madawati

Shule ya Jehovah Jire iliyoko Njiru kaunti ya Nairobi tuliyoingaza jana  hapa K24 ambako wanafunzi wanalazimika kukalia magunia kwa kukosa madawati imepata ukombozi.
Serikali ya kaunti ya Nairobi imetoa msaada wa madawati 23 na japo Waziri wa Elimu kaunti ya Nairobi anasema kuwa watatoa madawati zaidi hivi karibuni wanafunzi bado wanalalama kuwa matatizo yao hayajaisha.

Show More

Related Articles