HabariSwahili

Magunia Shuleni Jehovah Jireh Kasarani yatumika kama madawati

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Jehovah Jireh , eneo bunge la Kasarani wakiwemo wanafunzi wa darasa la nane, wanalazimika kusoma wakiwa wamekalia gunia  kwenye sakafu , kutokana na uhaba wa madawati.

Kulingana na mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa shule hiyo John Nzau, shule yenyewe imeshuhudia ongezeko la idadi ya wanafunzi kutokana na elimu bila malipo, kando na kuwa madawati mengi yaliharibiwa wakati wa uchaguzi.

Show More

Related Articles