HabariSwahili

Mgaagaa na upwa : Mikebe ya kuweka maua inayotengenezwa kwa kutumia magurudumu

Wengi huyasaza magurudumu pindi yanapotolewa kwenye magari. lakini sivyo kwake, Shihan Kinyanjui kutoka kaunti ya Nakuru.
Kinyanjui, huyachukua magurudumu hayo, na kutengeneza mikebe ya kupendeza ya kupanda maua, au hata ya kurembesha maeneo mbalimbali nyumbani na pia  maeneo ya watoto ya kuchezea.

Joab Mwaura na maelezo zaidi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa.

Show More

Related Articles