HabariPilipili FmPilipili FM News

Gavana Joho Akashifu Visa Vya Ufisadi Nchini.

Huku vita dhidi ya ufisadi vikishika kasi nchini wito umetolewa kwa maafisa wa umma kuhakikisha wanalinda vyema pesa zinazotengewa miradi ya maendeleo kwa wananchi.

Wito huo umetolewa na gavana wa mombasa Hassan Joho, wakati akizindua rasmi kituo maalum cha kuhudumia kinamama wajawazito katika hospitali ya rufaa ya makadara  hapa mombasa.

Joho amehimiza ushirikiano kwenye vita dhidi ya ufisadi, akitaka wanaopora fedha za umma wachukuliwe hatua zifaazo kisheria

Show More

Related Articles