HabariMilele FmSwahili

Familia kadhaa zawachwa bila makao mtaani Kibera

Familia kadhaa zimeachwa bila makao baada ya mamlaka ya ujenzi wa bara bara kuu KENHA kuendesha zoezi la ubomozi wa majengo katika mtaa wa Kibera. Zoezi hilo limetekelezwa chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa usalama ili kuruhuru ujenzi wa bara bara kuu ili kuunganisha ile ya Ngong na Langatta. Jumla ya watu elfu 100o wataathirika na zoezi hilo.

Show More

Related Articles