HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kenyatta asitisha utekelezaji wa miradi yote mipya ya serikali 

Rais Uhuru Kenyatta ameamuru kusitishwa kwa miradi yoyote mipya ya kimaendeleo hadi pale miradi ya awali itakokamilika.

Rais wakati huo ameamuru maafisa wa uhasibu kwamba watakabiliwa kisheria iwapo wataidhinisha miradi mipya bila ya kupokea maagizo ya hazina ya kitaifa.

Ni amri ambayo imeungwa mkono na Naibu Rais William Ruto ambaye amewaonya wakandarasi dhidi ya kuchelewa kukamilisha miradi waliyopewa.

Show More

Related Articles