HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Bidii ya Sheldon Ouma, aliyebobea katika mpira wa kikapu

Mpira wa kikapu ni mojawapo wa fani ambazo zimepata umaarufu sana duniani huku wengi wakiushabikia.

Hapa nchini, wengi wamejitosa kwenye mchezo huu akiwemo Sheldon Ouma mwanafunzi wa shule ya upili ya Laiser Hill ambaye  alipokea ufadhili wa masomo katika shule hii kupitia tu talanta yake uwanjani.

Vilevile ameongoza timu ya shule yake kwenye ushindi wa kombe la kitaifa kwa mashindano ya shule za upili kwenye mchezo huu.

Show More

Related Articles