HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mume akatwa kwa panga kufuatia mzozo wa maiti kufukuliwa

Mwanamume mmoja anauguza majeraha  baada ya kukatakatwa kwa panga, nyumba yake kuteketezwa na gari la naibu wa chifu kuchomwa baada ya bingwa huyo kuwaelekeza maafisa wa polisi kufukua maiti kwenye kipande cha ardhi, kinachozozaniwa  huko Shinyalu Kakamega.
Reuben Shivutse anadai kununua kipande cha ardhi mnamo mwaka wa 1982 lakini waliomuuzia walidinda kuondoka na hata kuamua kumzika mpendwa wao naye akaamua kufanya kila juhudi kufukua maiti ya marehemu .

Show More

Related Articles