HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Nyanya wa miaka 75 anayehusika katika utekaji auawa,Murang’a

Maafisa wa polisi wamewapiga risasi watu watatu akiwemo ajuza wa miaka 75 na wanaume wawili ambao kwa sasa wamethibitishwa kuwa maafisa wa gereza la Naivasha ambao wamehusika katika visa vya kuwateka nyara watu na kuwaitisha pesa kaunti ya Murang’a.
Ajuza huyo anasemekana kumteka nyara mwanamke mmoja siku sita zilizopita na kumtishia kumuuwa iwapo hangetoa shilingi milioni tano.

Show More

Related Articles