HabariPilipili FmPilipili FM News

KISCOL Yapewa Makataa YaKufungulia Mabwawa Ya Maji Kwale.

Kiwanda cha uzalishaji sukari KISCOL kaunti ya Kwale kimepewa makataa ya siku 7 na mamlaka ya kusimamia raslimali za maji nchini WARMA, kuyafungulia maji yaliyohifadhiwa  katika mabwawa yake au wachukuliwe hatua za kisheria.

Hii ni baada ya bwawa moja kuanza kuvuja na kusababisha taharuki miongoni mwa wakaazi wanaoishi karibu na bwawa hilo,  wakihofia  kuwa  huenda likavunja kingo zake na kuwasababishia mafuriko.

Show More

Related Articles