HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 3 wa ulaguzi wa binadamu wanaodaiwa kuwaingiza wasichana 21 nchini kutoka Nepal wakamatwa

Polisi wamewakamata washukiwa watatu wa ulanguzi wa binadamu wanaodaiwa kuwaigiza nchini wasichana 21 kutoka Nepal. Haya yanajiri baada ya maafisa wa ujasusi kutoka kundi la pamoja la kimataifa la kukabili uhalifu kuokoa wasichana hao ambao wamekuwa wakifanya kazi katika vilabu tofauti mtaani Westlands kinyume na sheria. Hii ni kufuatia msako ulioendeshwa katika maeneo mawili ya burudani katika barabara ya Mogotio.

Show More

Related Articles