HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi kadhaa wa shule ya msingi ya Olive, Narok wajeruhiwa kwenye ajali Bomet

Wanafunzi kadhaa wa shule ya msingi ya Olive huko Narok wanapokea matibabu baada ya kuhusika kwenye ajali mapema leo katika eneo la Tarakwa kaunti ya Bomet. Ajali hiyo iliyokea baada ya basi lao kuanguka.

Show More

Related Articles