HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Serikali ya Kaunti ya Nairobi yabomoa vibanda eneo la Mutindwa

Wafanyabiashara ndogo ngodo katika mtaa wa Buruburu jijini Nairobi wanaendelea kukadiria hasara baada ya serikali ya kaunti ya Nairobi kuvibomoa vibanda vyao vilivyokuwa bembezoni mwa barabara eneo la Mutindwa mapema leo.

Inadaiwa hatua hiyo ilichukuliwa ili kutoa nafasi kwa upanuzi wa barabara na uimarishaji wa mng’aro wa jiji.

Show More

Related Articles