HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Baadhi ya shule zalazimika kutumia teknolojia kwa wanafunzi

Katika miaka ya hivi karibuni visa vya uhalifu shuleni vimeripotiwa haswa kuteketezwa kwa mabweni desturi iliyozua maswali kuhusu usalama wa wanafunzi shuleni.

Huku visa hivi vya kutamausha vikizidi kuripotiwa, baadhi ya shule za bweni na za kutwa sasa zimesalia kutumia teknolojia kuwatambua wanafunzi kielektroniki na hata kutundika kamera za CCTV maeneo tofauti shuleni ili kuimarisha usalama.

Show More

Related Articles