HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KWS yaandaa maonyesho ya pembe za ndovu waliofariki Tsavo

Shirika la wanyama pori nchini KWS hii leo limeandaa maonyesho ya pembe 18 za vifaru waliofariki katika hali tata katika mbuga ya Tsavo Mashariki baada ya kuhamishwa kutoka mbuga za Nairobi na Nakuru.

Vifaru hao walikuwa miongoni mwa vifaru kumi na mmoja, waliohamishwa wiki tatu zilizopita.

Show More

Related Articles