HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Ruth Kamande aliyemuua mpenziwe kwa kumdunga kisu ahukumiwa kifo

Malkia wa urembo katika gereza la wanawake la Lang’ata Ruth Wanjiru Kamande amehukumiwa kifo na jaji Jessie Lesiit kwa kosa la kumuua kwa kumdunga kisu mara 25 mpenziwe Farid Mohammed yapata miaka mitatu iliyopita.
Ruth ambaye kufikia sasa ametumikia kifungo cha miaka miwili na miezi tisa katika gereza hilo ana siku 14 kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

Show More

Related Articles