HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaridhia ushindi wa mbunge wa Shinyalu Justus Kizito

Ni afueni kwa mbunge wa Shinyalu Justus Kizito baada ya mahakama ya rufaa kuridhia ushindi wake. Mahakama inasema kizito alishinda kwa njia huru na haki katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Wakati huo huo mahakama ya rufaa imeidhinisha ushindi wa mbunge wa Lamy Magharibi Stanley Muthama.

Show More

Related Articles