HabariMilele FmSwahili

Barabara ya Nairobi-Mombasa eneo la Kibarani yafungwa kwa muda

Polisi wamefunga barabara ya Nairobi-Mombasa eneo la Kibarani baada ya bogi moja la gari moshi lililobewa mafuta kuanguka. Maafisa kutoka kitengo cha kubali ghasia pia wametumwa eneo hilo kuwazuia wenyeji dhidi ya kuchota mafuta hayo. Madereva aidha wametakiwa kutumia njia mbadala kwani barabara hiyo inatelekeza kutokana na mafuta hayo.

Show More

Related Articles