HabariMilele FmSwahili

Askari wa jiji la Nairobi wabomoa soko la Mtindwa

Askari wa jiji wanabomboa wakati kuu vibanda vilivyojengwa soko la Mutindwa lililoko eneo la Buruburu. Ubomozi pia unaendeshwa katika soko la Bububuru karibu na barabara moja inayotambulika kama Sonko Road. Ubomozi huu ni kutoa nafasi ya upanuzi wa barabara eneo hilo. Wachuuzi wamelalamia ubomozi huo wakisema ubomozi huo unaendeshwa kwa ubaguzi

Show More

Related Articles