HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

ANC Kuandaa mkutano wa wabunge wake Alhamisi

Chama cha ANC kinapania kuandaa mkutano wa wabunge wake kesho asubuhi kulingana na mwenyekiti wa muungano wa wabunge wa chama hicho Ayub Savula.

Hii ikiwa ni mojawepo ya mikakati ya kujadili mstakabali wa chama hicho ndani ya muungano wa NASA, huku malumbano yakizidi baina ya vyama tanzu.

Show More

Related Articles