HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 5 wafariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Embu-Manyatta

Watu watano walifariki huku watatu wakijeruhiwa baada ya gari walimokuwa kuhusika katika ajali eneo la Kianjokoma kwenye barabara kuu ya Embu – Manyatta mapema leo.

Inasemekana watano hao waliangamia baada ya gari dogo walimokuwa kugongana ana kwa ana na lori lililopoteza mwelekeo.

Show More

Related Articles