HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maafisa wote wanaochunguzwa kufanyiwa tathmini ya Mali yao

Imebainika sasa maafisa wote wa serikali wanaochunguzwa kuhusiana na sakata mbali mbali za ufisadi watafanyiwa tathmini ya mali wanayomiliki ili kujua iwapo walipokea mali hayo kwa njia halali.

Duru zimearifu K24 saa moja kwamba maafisa watakaoshindwa kuelezea walikotoa mali yao watalazimika kurejesha kwa serikali, huku ikibainika kwamba tayari tathmini hiyo ya mali imefanyiwa baadhi ya maafisa wa serikali.

Show More

Related Articles