HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi zaidi ya 148 wanahojiwa na idara ya jinai nchini

Zaidi ya wanafunzi 148 wamezuiliwa na wanahojiwa na idara ya upelelezi wa jinai nchini kuhusiana na mikasa ya moto shuleni ambayo imefanya zaidi ya shule 50 kufungwa.

Haya yanajiri huku wanafunzi wengi wakiendelea kufikishwa kizimbani kwa madai ya kusababisha  uharibifu shuleni.

Show More

Related Articles