HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wanaswa na bangi yenye dhamani ya milioni 5 Makueni

Washukiwa wawili wamekamatwa huku polisi wakinasa magunia 19 ya bangi yenye dhamani ya shilingi milioni 5 kutoka magari 2 walimokuwa wakisafiria katika bara bara kuu ya Nairobi kuekea Mombasa. Kaunti kamishna wa Makueni Mohamed Maalim amesema polisi wamenasa bangi hilo baada ya kupashwa habari na umma. Bangi hio iliingizwa nchini kutoka Tanzania. Washukiwa wanazuiliwa katika gereza la Makueni wakisubiri kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles